ENTERTAINMENT

CHIN BEES AWAKALISHA CHINI DOGO JANJA NA MIMI MARS-ARUSHA


Msanii anaetikisa kwa sasa hapa nchini Tanzania kwa aina ya muziki inayofahamika kama 'Trap'-Chin Bees amefanya vyema sana katika show yake ya tarehe 3/3/2018 ndani ya Club D Jijini Arusha kulinganishwa na wasanii wengine waliokuwepo katika tamasha ilo.

Kwa jinsi alivyoweza wakosha mashabiki wake, mashabiki nao hawakusita kuonesha love yao kwa msanii huyo kwa vitendo na ndipo walipoamua kumbeba katika kuonesha furaha yao.

Kabla ya msanii huyo kupanda jukwaani alitanguliwa na msanii Mimi Mars na baadae tamasha kufungwa na msaanii Dogo Janja wa Arusha.

Kama bado hujaiona nyimbo mpya ya msanii Chin Bees bofya hapa chini.

 

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.