SPORTS

Viwango vipya vya FIFA:Tunisia nafasi ya kwanza


Hapo jana FIFA walitowa viwango vipya vya FIFA ambapo katika viwango hivyo nchi ya Tanzania imeendelea kuzorota kwa kushikilia nafasi ya 146 kati ya timu 206 zilizopo katika jedwali.

Nchi zinazoongoza ni pamoja na Ujerumani iliyopo nafasi ya kwanza,Brazili-2, Portugal-3, Argentina-4, Belgium-5, Poland-6, Spain-7, Switzerland-8, France-9 na Chile-10.

Kwa Africa timu inayoongoza  ni Tunisia ambayo ni namba moja Afrika na ipo katika nafasi ya 23 katika viwango vya dunia. 

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.