SPORTS

Maamuzi ya Mourinho kwa wachezaji wa Man United wanaopenda game


Headlines za kocha wa Man United Jose Mourinho zinazidi kuongezeka katika mitandao kila kukicha, July 24 2016 Mourinho ameripotiwa kutangaza maamuzi tofauti kwa wachezaji wake wa Man United ambao wanapenda kucheza game.
Stori kutoka 101greatgoals.com zinaeleza kuwa Jose Mourinho amewakataza wachezaji wa Man United kucheza game za Pokemon Go, maamuzi hayo ya Maourinhohayana maana kuwa wasicheze game kabisa.

Jose-Mourinho-Jose-Mourinho-Real-Madrid-Jose-Mourinho-Man-Utd-Man-United-Man-United-News-Chelsea-News-Real-Madrid-Real-Ma-631642
Jose Mourinho
Kocha huyo wa kireno mwenye asili ya utata na kupenda kujisifia, hataki wachezaji wake wacheze kwa maana zinakula muda, ila kama ni mpenzi unaruhusiwa kucheza saa 48 kabla ya mechi, hivyo ndani ya hapo huruhusiwi akili yako inatakiwa ifikirie vitu vya muhimu zaidi.

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.