AY AJIGAMBA YEYE NDIYE MKALI WA RAP AFRIKA MASHARIKI
Msanii Ambwene Yaisaya alimaarufu AY ameachia chupa lingine kwa jina EL-CHAPO. Ikiwa ni siku moja tu toka kuachia nyimbo hiyo imeonekana kupokelewa vizuri na mashabiki wake kwani kupitia You Tube imekwisha fikisha views zaid ya elfu ishirini na nane.
Nikatika nyimbo hiyo ambapo moja kati ya mashairi yake ameonekana ikajisifia kuwa yeye ndiye mkali wa rap Afrika Mashariki.
Kama hujapata bahati ya kukiona kichupa hicho tizama nasi HAPA CHINI.
NGA NGA NGA RAP (rapper )
ReplyDelete