ENTERTAINMENT

KING KIBA AZIDI KUPAA KIMATAIFA


Katika Top ten za EATV nyimbo ya Kiba inayokwenda kwa jina AJE imezidi kufanya vizuri ikiwa imeshika namba 5 wiki hii huko hasimu wake mkubwa Diamond Platnumz na kibao chake cha Kidogo ameshika nafasi ya nne.

Pia Ali Kiba ni msanii pekee kutoka Tanzania ambaye atatokea katika Jarida maarufu  zaidi huko nchini Marekani 'The Source' na hii nikutokana na mziki wake kusambaa zaidi katika nchi hiyo.

King Kaka ambaye ni msanii maarufu toka nchini Kenya alisema Kiba ndiye msanii ambaye analipwa pesa nyingi zaidi katika matamasha akilinganishwa na wasanii wengine kutoka nchini humo.

Hizi ni ishara nzuri kwa Kiba na nikielelezo pia kukubalika kwake kunaongezeka siku adi siku Tanzania, Afrika na Duniani kiujumla.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.