SPORTS

Bayern Munich wafuzu hatua ya pili ya kombe DFB KWA MAGOLI 5-0

 Robert Lewandowski

Lewandoski akiwa ndiye mchezaji aliyeng'aa zaidi katika mechi ya Bayern Munich dhidi ya Fc Carl Ziess amejiandikia rekodi yake kwakufunga Hat-Trick katika mchezo huo ikiwa ni takribani miaka minne sasa toka afanye hivyo katika kombe la Ujerumani 2012 walipokuwa wakicheza fainali dhidi ya Borrussia Dortmund.

Magoli ya Lewandoski yalifungwa dakika ya 3, 34 na 43 huko Vidal akipata goli dakika ya 72 na Hummels dakika ya 77.
Huu ni ushindi wa pili chini ya Ancellot baada ya ule dhidi ya Borrusia siku ya Jumapili.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.