SPORTS

ZLATAN IBRAIMOVIC AIBEBA MAN UNITED DHIDI YA SOUTHAMPTON

Ibrahimovic celebrates with Pogba after scoring their second goal from the penalty spot.

Manchester United ama mashetani wekundu kama wengi wanavyopenda kuwaita wameendelea kujiweka katika nafasi nzuri baada ya kuibuka na ushindi wa pointi tatu dhidi ya Southamptons.

Magoli yote mawili ya Man United yalitiwa nyavuni na mchezaji Zlatan Ibrahimovic huku nyota mwingine Pogba akionekana kuendelea kuimarika katika kikosi chake kipya bila ya kufunga goli lolote.

Msimamo wa ligi unaonesha mpaka sasa Man United wapo kileleni wakiwa na pointi zao sita.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.