BREAKING NEWS: LUNGU ATANGAZWA RAISI MPYA ZAMBIA
Ni baada ya malalamiko ya tokea tarehe 11/08/2016 ambapo uchaguzi mkuu ulifanyika nchini Zambia bila matokeo kutangazwa. Ni dakika chache zimepita baada ya aliyekuwa raisi nchini humo Mh. Edgar Lungu kutangazwa kutetea kiti hicho cha uraisi kwa ushindi wa asilimia 50.3.
Lungu na mpinzani wake Hakainde Hichimela wametofautiana kwa kura laki moja tu ambazo ndizo zilizompa ushindi huo. Tiyari Hakainde amepinga matokeo hayo yaliyotangazwa akidai kuwa yanaudanganyifu mwingi.
0 comments:
Post a Comment