INTERNATIONAL NEWS

CHRIS BROWN NA TUHUMA ZA KUMTISHIA BAYLEE CURRAN KWA BASTOLA


Kwa mara nyingine msanii maarufu toka nchini marekani 'Chris Brown' amekamatwa kwa tuhuma za kumtishia binti mmoja raia wa Marekani (Baylee Curran)  kwa bastola. Hii ni mara ya pili kwa mwanamziki huyo kutuhumiwa kwa kosa la tishio baada ya lile la mwaka 2009 alipofanya tukio la namna hiyo kwa msanii Rihanna.

Baada ya kufikishwa katika mamlaka husika Mwanamziki Chris Brown alikana tuhuma hizo huku akidai nituhuma zauongo alisema wakili wa msanii huyo.

Kwasasa Chris Brown ameachiwa kwa dhamana ya dollar (190,000).

Source BBC News; 31/08/2016

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.