SPORTS

DROO HATUWA YA MAKUNDI EUROPA KUCHEZESHWA LEO SAA NANE MCHANA


Saa nane mchana leo tutashuhudia kupitia vyombo mbali mbali vya habari ikichezeshwa droo ya upangwaji wa makundi katika ligi ya Europa.

Hii ni kwa mara ya kwanza ambapo mchezaji toka Tanzania Mbwana Samatta anashiriki katika hatuwa hiyo ya makundi baada ya kuiwezesha timu yake ya Genk kufuzu kwa Goli 4-2 dhidi ya Lokomotiva Zagreb.

Swali lililovichwani mwa wengi ni, Genk wataangukia kundi gani?



ENDELEA KUWA NASI KUPATA UPDATES ZOTE.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.