SPORTS

Liverpool waicharaza Burton Goli 5 kwa 0


Liverpool wajulikanao kama Majogoo wa Uingereza wameibuka na ushindi mnee wa magoli matano kwa sufuri dhidi ya Burton Albion.

Liverpool walianza kuongoza baada tu ya dakika 15 za mchezo kuanza. Katika kipindi cha kwanza majogoo hao walijipatia magoli 2 tu huku wakipata magoli 3 katika kipindi cha pili na kuwafanya kuwa washindi wa mchezo.

Jurgen Klopp (meneja wa Liverpool) alisema walipata nafasi nyingi na iliwapasa kuzitumia kushinda na ndicho walichokifanya. Alisema hayo huku akikipongeza kikosi chake kwa ushindi mnono walioupata.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.