LOCAL NEWS

SUSTAINABLE DEVELOPMENT AWARD: BRAVO PROF. ANNA TIBAIJUKA


Aliyekuwa waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo Prof Anna Tibaijuka usiku wa jana alipata tuzo ya heshima huko nchini Marekani kamaishara yakutambua mchango wake katika kuhamasisha maendeleo.

Utowaji wa tuzo hizo ulifanyika huko Marekani katika mji wa New York ukishuhudiwa na viongozi mbali mbali akiwemo Balozi Augustine Mahiga na Anna Lupembe toka Tanzania.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.