SPORTS

Uganda Cranes wathibitisha walistahili tuzo kama timu bora Africa 2016


Majuzi tu kikosi cha Uganda cranes wamejinyakulia tuzo ya timu bora Afrika (wanaume) huko timu hiyo hiyo ilifanikisha kuchukua tuzo nyingine ya Africa baada ya kumtoa mchezaji bora wa Africa kwa wachezaji wanaochezea ndani ya bara.

Vijogoo hao wa Uganda walithibitisha ubora wa timu yao wakiichapa timu ya Slovakia bao 3:1 walipokuwa wakivutana katika mechi yao ya kirafiki iliyochezwa Jan. 8 mwaka huu.

Matokeo ya mechi zingine za kirafiki zilizochezwa jana ni pamoja na Senegal v. Libya 2:1, Egypt v. Tunisia 1:0, Sweden v. Ivory Coast 1:2

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.